• Seynation Updates

    Sunday 12 March 2017

    VIDEO: Majipu yaitafuna CCM. Tazama waliotumbuliwa na kamati iliyoongozwa na Rais Magufuli.

    Tarehe 11/03/2017 kamati kuu ya maadili ya chama cha mapinduzi imekaa na kufanya maamuzi mbalimbali Dodoma, Baada ya kikao cha halmashauri kuu,  katibu wa itikadi na uenezi, Humphrey Polepole amezungumza na waandishi wa habari kuhusu kuwasimamisha, kuwapa onyo na kuwafukuza wanachama pamoja na wajumbe wa halmshauri kuu wa chama cha mapinduzi. Bonyeza play hapa chini kutazama
    VIDEO: Majibu ya JPM kuhusu kikao cha CCM kufanyikia IKULU, Bonyeza play hapa chini kutazama
    Jiunge na SeyNation

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI