• Seynation Updates

    Tuesday 27 June 2017

    PICHA ZA WEMA SEPETU INSTAGRAM ZAZUA MENGINE..MASHABIKI WAMBATIZA JINA JIPYA




    SUPASTAA wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu, ametupia picha mpya kwenye akaunti yake ya Mtandao wa Instagram, zikimuonesha akiwa na mwonekano mpya ambapo muda mfupi baadaye, mashabiki zake walianza kutoa maoni yao, wengi wakionesha kufurahishwa na mwonekano wake mpya.
    Mashabiki hao wamembatiza Wema kwa jina jipya, wakimuita Malkia wa Instagram Tanzania au mwenye insta yake kaja.






    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI