Yaani ni Bampa-bampa Hit makers wa ngoma ya MUZIKI wamerejea tena na ngoma ingine wakiiliamsha dude kwa # 3 (TATU).. Video imeandaliwa na Dir.Hanscana na Pia iliandikwa na BEN POL akishirikiana na DARASA SEYNATION inakusogezea burudani waweza kudownload ngoma hio hapo chini..
Nahodha wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta, leo anatarajiwa kuiongoza tena KRC Genk katika mchezo wa kwanza wa Kundi F la Europa Le...
A GIFT TO YOU cOVER SINGERS DIR LUCAS KIDS NUMBER ONE PRODUCTIONS
About Seynation
Seynation is A social platform. Its Popular In Eastern Africa mostly In Tanzania, provides All sorts of News to public. Advertising with seynation is easy just contact
+255 684 224 468 Follow on instagram @seynation