• Seynation Updates

    Friday 23 June 2017

    IMETHIBITISHWA ALI KIBA KAPOTEA..



    Hivi huyu jamaa yuko wapi siku hizi maana hasikiki kabisa au tayari kampuni na vipi zile show zake za ugaibuni kaisha maliza au ndo Sony wanampoteza hivyo, ikumbukwe baada ya Kiba Kuingia Sony watu wengi walitabiri anguko lake kutokana na historia ya wanamuziki Wengine waliojiunga na lebo hiyo kutoka Africa kuzikwa kabisa katika ramani ya Muziki...

    Team Kiba njooni hapa mtujuze kunani na Kiba

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI