Baada ya kumbwaga Chris Brown, Drake, Travis Scott sasa mwana dada Rihanna yuko na baby mpya ambaye mpaka sasa jina lakehalijulikani.
Rihanna ameonekana kwenye swimming pool na huyu mshkaji mpya wakikumbatiana na kupeana mabusu moto moto huko nchini Spain na hii imetajw akuwa sababu ya Riri kutohudhuria tuzo za BET.