Mcheza tennis maarufu duniani Serena Williams,35 amefanya PhotoShoot ya ujauzito akiwa mtupu na jarida la VANITY FAIR.
Kwenye interview na jarida hili Serena kaongelea mahusiano, maisha na kutegemea mtoto wake wa kwanza na mchumba wake Alexis Ohanian.
Serena kwa sasa anaujauzito wa miezi sita