• Seynation Updates

    Friday, 7 July 2017

    INASEMEKANA ETI NATAFUTA KIKI KWA BEN PO- Ebitoke



    Mkali wa Miondoko ya RNB Bongo Ben Pol ambaye yupo kwenye penzi zito la Mwanadada Mchekeshaji Ebitoke amesema kuwa wanaodhani kuwa mapenzi ya wawili hao ni kiki wasubiri kuona ndoa imefungwa.

    Hayo ameyasema Jana wakati wa show ya Miaka kumi  na tanoya Msanii Mkongwe Saida Kalori,Escape one Jijini Dar es Salaam.

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI