• Seynation Updates

    Friday 29 December 2017

    COLLABO YA SAUTI SOUL NA TIWA SAVAGE...NI MOTOO



    Kundi la muziki kutoka nchini Kenya, Sauti Soul lipo mbioni kuachia kolabo na msanii wa Nigeria, Tiwa Savage.
    Kufanikiwa kwa kolabo hiyo Sauti Soul wanaungana na Diamond Platnumz ambaye June mwaka huu ametoa ngoma na Tiwa Savage inayokwenda kwa jina la Fire.
    Kupitia ukurasa wao mtandao wa Twitter Sauti Soul wameandika; If you can’t wait for the Tiwa collabo just tweet #AfrikanSauce
    Pia kolabo hiyo itakuwa ngoma nyingi kwa Sauti Soul kufanya na msanii wa Nigeria ambapo kwa sasa wanafanya vizuri na ngoma ‘Melanin’ ambayo wamemshirikisha Patoranking.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI