• Seynation Updates

    Wednesday 21 February 2018

    ISABELAH SEHEMU YA 09 (18+)

    Image may contain: one or more people, text and outdoor

    lakini walipo pishana na Kadoda, nikama Fadhila alihisi kitu, na ile ndoo aliwai kumwona nayo Isabelah, mdafupi uliopita, hapo akaona wacha atumie uwezo wake kumstua Yenda, Kadoda alichapa mwendo kuelekea mtoni, akiwa na uakika ya kwamba lazima atagunduwa kitu flani juu ya mchezo wa dada yake, maana aliona kitendo cha yeye kwenda mtoni mda hule, hakuna alie tegemea, alitembea taratibu akiwa pekeyake, mapigo yamoyo yaliongeza kasi kwa uoga, kutokana na hadithi nyingi wanazo zisikia, kuhusu ule mto, akajikaza kiume nakusogelea mto lakini akiwa mita chache toka mtoni, Kadoda aliona kitu cha hajabu sana, akjiambia kuwa yale ndiyo mauza huza anayo yasikiaga, akiwa haja amini alicho kiona alisogea zaidi mtoni, hapo akaakikisha kuwa alichokiona ndivyo hilivyo, japo kuwa dada yake ametoka midahii akiwa amebeba maji safi lakini yeye amekuta maji machafu, kabisa kama yametibuliwa na mafuliko yakipindi cha mvua, "haa kweli nime amini, huku siyo kuzuri, alafu huyu Isabelah nae anakuja kukaa huku" hapo akaona bola achote maji alaka na kutimka zake, akaingia ndani ya yale maji machafu, yaliyo timka kiasi chakuwa mekundu kabisa, akachuta nakutokanayo, kisha akatembea atuwa chache nakugeuka alikotoka, nakuyatazama tena yale maji, ambayo muda wote alichukulia kuwa ni mauza uza ya vbwengo katika mto matimila, kam alivyo waikusikia watu wakisimulia, kwamba kuna wakati uwa wana sikia ata sauti za watu wakiimba na kupiga ngoma, asa nyakati za usiku, naka ukipata bahati ungeweza kuwaona wakiwa nje ya maji, kando kando ya mto wana burudika kwa vyakula na vinywaji, hapo, Kadoda alinuwa tena ndoo yake na kuanza kuondoka zake, pasipo kujuwa kilicho chafua maji hayo, kumbe baada ya binti Nguva Fadhila, kumtumia ujumbe Yenda kwa njia ya hisia, Yenda alichukuwa maficho nakwenda upande wa juu zaidi, yanapo tokea maji huku akijuwa yakuwa, Kadoda akifanikiwa kupeleka maji nyumbani, basi hato pata nafasi ya kumwona mpenzi wake Isabelah, hapo akapata wazo la kuya chafua yale maji, ikiwa ni mbinu aliyo ifikilia ..... naam unazani mbinu yake itafanya kazi? ebu tuonane kwenye sehemu ya kumi, Kwa kutangaza biashara, tukio. au chochote kile kupitia blog hii wasiliana nasi 0684 224 468, 0767 892 902.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI