• Seynation Updates

    Monday, 30 April 2018

    HONGERA ALI KIBA & ABDU KIBA




    Ikiwa Usiku wa Tar 29/04/2018 wasanii Alikiba na Abdukiba,  wamefanya Reception party jijini Dar Es Salaam, ikiwa ni baada ya kufunga ndoa siku kadhaa zilizo pita.






    Seynation Media Group inatoa pongezi kwa wasanii hawa kwa kufikia hatua hii muhimu katika maisha kwani wapo wasanii hadi leo ambao bado wanahenya na kusota kupata wake. 

    Seynation Tutaendelea kukuletea yale yanayoendelea kwa Sherehe hii.... Endelea kutufuatilia

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI