Msanii na Mjasiliamali Ali Kiba amezindua bidhaa yake ya kipekee hapa nchini. Bidhaa hio ni kinywaji Alichokipatia jina la 'MOFAYA'.
Ali Kiba & Amina |
Kinywaji Hiki kina leta mzuka yaani kina leta uchangamfu, hii ni kwa mujibu Ali Kiba. Kina Rangi Nyeusi, hii inamaanisha ni kwa ajili ya Afrika na inadhihirisha upendo alionao Msanii huyu kwenye bara la Afrika hususani Tanzania.
Walioshiriki pia katika kufanya bidhaa hii inafika sokoni na kuwepo ni msanii mwenzake Ommy Dimpoz pamoja na Meneja wa Ali Kiba.
Stori zaidi zinakuja usichoke kutufuatilia.... Hapa hapa
Google search🔍>>seynation ili kusoma habari kila siku
No comments:
Post a Comment