• Seynation Updates

    Thursday 19 April 2018

    SALAMU/PONGEZI ZA DIAMOND KWA ALI KIBA

    Siku ya Tar 19 Msanii ALI KIBA ameagaa ukapera na kujumuika na wasanii wenzake kama Roma, AY. Na wengne walio kwenye Ndoa. 

    Wamejitokeza wasanii wengi kumpongeza Ali lakni, jambo moja lililowashtua wengii ni kuona msanii mwenzake DIAMOND PLATNUMZ akitoa pongezi kwa ALI KIBA, Kwani watu hudhani  kuwa wasanii hawa hawana mahusiano, mawasaliano mazuri yaani huamini kuwa wana bifu. Jmbo  ambalo Wasanii hao hulipinga pindi pale wanapo hojiwa.

    Diamond Platnumz katumia mfumo wa kitofauti katika kufikisha salamu za Pongezi kwani kupitia Ukurasa wake wa Instagram amewaomba mashabiki zake kumfikishia salamu King Kiba., Hivi ndivyo Alivyoandika ..

    "Ni Mwendo wa Picha za Suti tu sasa hivi, Maana nisije nikafungua hata kashati nikajikuta Centro...Pole yenu Wa zee wa Gym, Kama Muscat Round hii🤣🤣🤣.... Wadau Nimeambiwa King Kiba kaoa leo...Mfikishieni Salam zangu, za Ndoa njema, na Maisha yenye Furaha, Amani na Baraka tele...🔥🔥🔥 #SanaaImezaliwaUpya "

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI