• Seynation Updates

    Tuesday 22 May 2018

    (PICHAZ ) SANDUKU LITAKALO HIFADHI KOMBE LA DUNIA 2018.. NI MOTOO !!

    .com/proxy/

    Bado siku chache tu Michuano ya Kombe la Dunia kwa mwaka 2018 ianze nchini Urusi, hii ni Michuano Mikubwa na Mvuto wa Michuano hii unakuja kutokana na Michuano kuwa na utaratibu wa kufanyika mara moja kila baada ya miaka minne.

    .com/proxy/

    Kuelekea michuano hiyo Kampuni ya Fashion ya Louis Vuitton imetengeneza sanduku maalum litakalotumika kubebea Kombe la Dunia kwa mwaka huu 2018.

    .com/proxy/

    .com/proxy/

    .com/proxy/

    .com/proxy/



    Usikose habari zaidi Tufuatilie Instagram @seynation na INSTALL APP YETU BOFYA HAPA


    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI