• Seynation Updates

    Tuesday, 27 June 2017

    PICHA ZA JOKATE 'KIDOTI' BILA MAKE UP- JOKATE ORIGINAL



    Mjasiriamali na Mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo ameachia picha mbili mtandaoni  na kudai huyu ndiye Jokate original.



    Katika mtandao wa instagram alipoweka picha hizo, moja ameandika “The Original. The OG. #Kidoti, kisha nyingine, “African Barbie. African Queen”. Tazama picha hapa chini.

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI