Kwa mara nyingine tena nakusogezea stori kutokea Mwanza kuhusiana na jengo jipya la Rock City Mall ambalomiezi kadhaa iliyopita lilianza kuchukua headlines baada ya kuonekana ndio Shopping Mall kubwa kuwahi kujengwa katika jiji hilo.
ROCK CITY MALL MWANZA Source: MillardAyo.com |
No comments:
Post a Comment