Akizungumza na Vyombo Vya Habari meneja Mawasiliano waTCRA Innocent Mungy…’Siku ya tarehe 16 ya mwezi huu simu zote bandia hazitafanya kazi katika Network za Tanzania, kuna maswali kwamba zitazimwa vipi kiujumla ni kwamba kila simu imetengenezwa na kupewa namba maalum kila kifaa chochote cha mawasiliano ambayo inaitambulisha simu ni aina gani’- Innocent Mugy
‘Kwahiyo cha kimsingi kuanzia saa sita usiku kuamkia tarehe 16 mwezi huu kitakachotokea simu zote zile ambazo hazijakizi kiwango basi hazitaweza kufanya kazi kwa muda huo kwasababu ni bandia pia haziwezi kukizi kiwango cha umeme unaingia kwenye simu hiyo bandi –Innocent Mugy
No comments:
Post a Comment