• Seynation Updates

    Sunday, 19 June 2016

    #teknolojia: KAMPUNI YA "LG ELECTRONICS" YAZINDUA TV ZENYE MIONZI INAYO UA MBU WASABABISHAO MALARIA NA EBOLA



    LG sells mosquito-repelling TV in India to help fight malaria and Zika

    Kampuni ya LG Electronics Inc hivi karibuni imezindua TV za Aina yake.
    TV hizo zina Mionzi inayo ua mbu wasababishao MALARIA, ZIKA & EBOLA. Mionzi hiyo hufanya kazi hata kama TV imezimwa.

    Na pia Teknolojia hio imetumika kwenye vifaa vingine kama Airconditioners na Mashine Za Kufulia

    BOFYA HAPA KUJUA LAPTOP BORA UNAZOTAKIWA KUWA NAZO

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI