• Seynation Updates

    Tuesday, 27 December 2016

    PICHA ZA JOKATE XMASS

    Christmas na rangi nyekundu ama nyeupe ni kama samaki na maji.
    Na rangi hizo hazipatikani kwenye kadi, zawadi au kofia na mavazi ya Father Christmas pekee, bali hata katika picha nzuri za Jokate Mwegelo alizopiga kusherehekea sikukuu hiyo muhimu kwa waumini wa dini ya Kikristo.
    Hizi ni picha ambazo staa huyo amezishare kwenye ukurasa wake wa Instagram kusherehekea sikukuu hiyo.

     

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI