• Seynation Updates

    Tuesday, 3 January 2017

    Kilichomuua mke wa director Lister hiki hapa

    Mke wa muongozaji wa filamu nchini Tanzania, Gift John Lister aliyefariki wiki iliyopita akiwa anasumbuliwa na homa ya mapafu amezikwa Jumamosi hii katika makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam.


    John Lister akiwa na mkewe Marehemu Gift John Lister

    Akiongea kupitia eNewz  mume wa marehemu Director John Lister amesema marehemu ameacha watoto wawili na siku tatu zilizopita waligundua kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na homa ya mapafu na wakati anapatiwa matibabu ndipo umauti ukamfika.
    Pia John Lister amewashukuru wasanii wote pamoja na marafiki waliojitokeza katika mazishi ya  mke wake, bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI