• Seynation Updates

    Thursday, 2 March 2017

    New Music: Kiboko ya Mabishoo - Harmorapa ft Juma Nature. Amchana Mose Iyobo (WCB)















    Msanii wa muziki Harmorapa ameachia wimbo wake mpya Kiboko ya Mabishoo akiwa amemshirikisha Juma Nature. Wimbo umeandaliwa na producer T Touchez.

    Katika kazi hiyo ambayo tayari imeanza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, Harmorapa amewachana baadhi ya mastaa akiwemo dansa Mose Iyobo, na watu wengine ambao wamekuwa wakim-‘diss’ kuwa hajui muziki na kusema yeye hajali maneno yao machafu kwani yeye amekuja kutafuta pesa.

    Jiunge na Seynation Media

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI