Vanessa amepost picha tatu katika mtandao wake wa Instagram ambazo zinamuonyesha akiwa katika muonekano wake mpya wa nywele zikiwa na rangi ya karoti.
New Hair Who Dis? @iambenpol najua umefarijika sana
Naye Ben Pol amemjibu Vanessa kupitia mtandao huo kwa kuandika, “Happy Faraja Week, naendelea kufarijika tu
Kwa kutangaza biashara, tukio. au chochote kile kupitia blog hii wasiliana nasi 0684 224 468, 0767 892 902.
No comments:
Post a Comment