• Seynation Updates

    Wednesday 11 April 2018

    Hivi Ndivyo CLOUDS MEDIA wanavyopokea Wageni. (Video)

    Ufikapo kwenye ofisi za Clouds Unatakiwa kujiandaa, lakini haimaanishi kuwa wewe ni mtu wa kawaida yani sio kiongozi au celeb ndo uogope kuingia kwenye ofisi hizo, kwani Clouds Media Group ni Media ya watu. 

    Tokeo la picha la clouds media

    Yale yanayosikika mtaani kuwa Clouds wanapokea wageni vibaya SIO ya kweli kabsa kwani Kuanzia kwa Mlinzi wao hadi kwa Ruge wote ni wakarimu na wanapenda wageni. Ungania Na @thisistei kwenye video hapo chini kujionea namna Wanavyopokea wageni.



    Usikose habari zaidi Tufuatilie Instagram @seynation na INSTALL APP YETU BOFYA HAPA

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI