Mpambano Bado Unaendelea ni baina ya Rammy Galis Na Irene Paul
Kupitia Kipindi cha SHILAWADU Irene Paul Amefunguka kwa Rammy Galis Ni mtoto kwake kwani anamzidi Kila Kitu .
Irene Paul Amefunguka Kuwa Anamzidi Ramy ELIMU, UMRI, HADHI, MAFANIKIO na kila kitu kwahio Rammy ni mtoto kwake
Usikose habari zaidi Tufuatilie Instagram @seynation na INSTALL APP YETU BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment