• Seynation Updates

    Friday, 27 April 2018

    ANDRE INIESTA KUIACHA BARCELONA, HIZI NDIZO REKODI ALIZOWEKA.

    Tokeo la picha la andre iniesta
    Kiungo na nahodha wa FC Barcelona Andre Iniesta ametangaza kuacha kuichezea Timu ya Barcelona ni Baada ya  kuichezea kwa kwa misimu 16, pia amesema hata akienda timu ya aina gani haitotokea timu kama Barca.

    Pamoja na Kuichezea Timu Hio Kiungo Huyo ameweka rekodi kwa yafuatayo.

    - Ameichezea Barca Game 669

    - Amefunga Magoli 57

    - Ameshinda Mataji 31 kama taji la UEFA Champions 

    - Ametoa Pasi 114

    - Amepata kadi 22 za Njano

    - Akiwa na Timu hio Ametwaa Makombe ma 3  akiwa na timu yake ya taifa ya Hispania.



    Andre Iniesta mwenye umri wa miaka 33 kwa sasa  ametangaza maamuzi hayo na sasa anahusishwa kwenda kucheza Ligi Kuu Chini lakini kwa upande wake hajathibitisha chochote kama msimu hujao atakuwa uwanjani au ndio anaachana na soka jumla.

    Usikose habari zaidi Tufuatilie Instagram @seynation na INSTALL APP YETU BOFYA HAPA

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI