• Seynation Updates

    Friday, 27 April 2018

    RAMY GALIS 'Irene Paul Ana Matatizo na kila Msanii, Ana Matatizo ya Akili/Mental Illnes'

    Tokeo la picha la rammy galis na irene paul
    Msanii wa Bongo Muvi anaye trend sana kwenye mitandao ya kijamii baada ya picha yake kusambaa akiwa amezimia huku ameshikilia kitambaa kwenye msiba wa Marehemu Agnes Gerald A.K.A Masogange, hali isiyo ya kawaida kwa mtu kuzimia huku akishikilia kitu.

    Aidha Msanii huyo amefunguka kwa waandishi wa habari kuwa Hakuzimia, na uhusiano wake na Msanii mwenzake Irene Paul sio mzuri, kwani amefunguka kuwa Irene Paul aliandika Instagram kwa makusudi maalum la kumkejeli.

    Rammy Galis kupitia kipindi cha SHILAWADU amesema kuwa Irene Paul Huwa hana Uhusiano mzuri na wasanii wenzake , amesema pia Irene Paul Ana 'Mental Illnes' yaani ana matatizo ya akili...............ITAENDELEA

    Usikose Muendelezo wa Mpambano huu kati ya RAMMY GALIS na IRENE PAUL Kupitia Blog na APP ya SEYNATION MEDIA

    Usikose habari zaidi Tufuatilie Instagram @seynation na INSTALL APP YETU BOFYA HAPA

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI