Kilichotokea ni kwamba Ronaldo na wachezaji wenzake wa timu ya taifa ya Ureno walikua kwenye matembezi kisha Mwandishi akamsogelea Ronaldo kumuuliza maswali ambayo inaonekana Ronaldo aliyekua na hasira hakutaka kuyajibu.
Ilikua asubuhi huko Ufaransa kwenye michuano ya EURO 2016 saa kadhaa kabla ya Ureno kukipiga na Hungary uwanjani, Ronaldo alipoulizwa kuhusu utayari wake kwenye hiyo game hakujibu chochote badala yake akaichukua microphone ya Mwandishi na kuitupa kwenye maji.
No comments:
Post a Comment