• Seynation Updates

    Friday, 8 July 2016

    KILE TFF WALICHOMUAMULIA JERRY MURO

    Taarifa zinazozidi kusambaa kwenye mitatandao ya kijaamini ni kwamba, Ofisa Habari wa klabu ya Yanga Jerry Muro amefungiwa kujihusisha na mambo ya soka kwa mwaka mmoja.
    Ripoti zinadai kwamba, uamuzi huo umetolewa leo Juni 7 na kamati ya nidhamu ya shirikisho la soka Tanzania (TFF).
    Jerry Muro-Afisa habari klabu ya Yanga Kwa mujibu wa barua ya TFF iliyosainiwa Juni 29, 2016 na Katibu Mkuu Mwesigwa Selestine, TFF ilikuwa inamtuhumu Muro kupingana na maamuzi pamoja na kuishambulia TFF kwenye vyombo vya habari.

    No comments:

    Post a Comment

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI