• Seynation Updates

    Tuesday, 12 September 2017

    Lowassa Amjulia Hali Lissu Nairobi.

    Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, Edward Lowassa amewasili Nairobi nchini Kenya kumjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu aliyeshambuliwa kwa kupigwa risasi ambaye kwasasa ana patiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan nchini humo.

    Mhe. Lowassa leo kupitia ukurasa wake wa Twitter, ametweet:

    “Earlier today i paid a visit at Nairobi Hospital to see our MP, President of TLS and dear friend @tundulissutz He is recovering well. It is Sad times for Tanzania. Let us all keep praying.”
    Mbunge Lissu aliyejeruhiwa tarehe 7, Septemba kwa kupigwa risasi eneo la ‘area D’ mjini Dodoma

    VIDEO MPYA

    UMBEA MTUPUU

    MAPENZI